Thursday, August 11, 2016

IJUE SABABU Arsene Wenger kuchanganyikiwa juu UHAMISHO WA Paul PogbaKWENDA MAN UNITE

paul-pogba.jpgikiwa tayari deal la uhamisho wa kiungo Paul Pogba kukamilika, ambapo ndio uhamisho ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya ligi kuu Uingereza,lakini  hali ni tofauti kabisa kwa kocha wa washika bunduki wa Landon Arsenal  Wenger ambapo yeye ameona thamani ni kubwa sana aliyo nunuliwa mchezaji huyo
lakini juu ya kuchanganyikiwa juu ya uhamisho huo Wenger amekiri kuwa Pogba ni mchezaji mzuri na ataisaidia sana Man United hasa wakati huu ambapo ligi ya Uingereza itakua ngumu kwa sababu kuna wachezaji wenye majina makubwa wamesajiliwa vilevile kuja kwa makocha wazuri kama pep guardiola wa Man city .
Share:

Hon. Saumu Heri Sakala

Hon. Saumu Heri Sakala
Member of Parliment (MP)

Video

Recent Posts