Mwenyekiti wa kijiji cha ushongo kata ya mwera wilayani
pangani MUNGIA MGAZA alalamikia hatua ya
halmashauri ya wilaya ya pangani kwakutowasaidia kukamilisha jengo la zahati .
Ndugu mungia ameyasema hayo wakati akiongea na saumusakalamp.blogspot.com na
kuogeza kuwa kuwa jengo la zahanati limejengwa kupitia nguvu za wananchi lakini
kwa sasa ujenzi huo umekwama na kila wakiomba msaada halmashauri kwaajili ya
kumaliza ujenzi huo wamekua wakiahidiwa bila mafanikio.